English

Beji ya ATF (Dhahabu)

Bidhaa za ATF

€10.50

50 in stock
Product description

Beji yenye muundo wa nembo ya ATF, ni nembo iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na yenye kuwakilisha Jumuiya. Ni nembo ambayo inafaa kuvaliwa kwenye maeneo yoyote yenye kuwakilisha Utanzania hapa Finland na sehemu zingine. Pia kwenye shughuli na mikusanyiko mbali mbali ya Jumuiya, mfano sherehe za Uhuru, Picnic nakadhalika. Kununua beji hii pia kunainua mfuko wa jumuiya kwa ajili ya maendeleo ya shughuli za Jumuiya yako.

Association of Tanzanians in Finland - ATF