Karibu kwenye Duka la Mtandaoni la ATF ambalo linatumika kuuza bidhaa za jumuiya kwa ajili ya kutunisha mfuko wa jumuiya kwa ujumla.
Beji ya ATF (Nyeupe)
Beji yenye muundo wa nembo ya ATF, ni nembo iliyotengenezwa kwa ubora wa hali ya juu na yenye kuwakilisha Jumuiya. …
Beji ya ATF (Dhahabu)
Ada ya Uanachama ATF - Muhula Mmoja (Jan - Dec)
You acknowledge and agree that, by this payment, you agree to become a member of ASSOCIATION OF TANZANIANS IN FINLAND …
Ada ya Uanachama ATF - Mihula Miwili, (1/2) (Jan - Jun)
Ada ya Uanachama ATF - Mihula Mitatu, (1/3) (Jan - Apr)
Chakula Mtu Mmoja
Chakula cha mtu mmoja katika sherehe za Uhuru wa Tanzania, zitakazofanyika tarehe 7.12.2019. Endapo unahitaji kununua kwa ajili ya mtu …